fb,twita,insta

tangazo

Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6 jionee utofauti

SUMSUNG GALAXY S6 vs IPHONE 6

  Uamuzi ni juu yetu katika kuchagua simu hizi Mbili Kati ya Samsung Galaxy S6 na  Apple iPhone 6

Tukianza kuchambua simu hizi mbili Apple iPhone 6 na Samsung Galaxy S6 kutoka kwenye
haya makampuni mawili, kila mtu atakuwa na uamuzi wa kununua ipi aitakayo, Sasa tuanze.

 

Samsung Galaxy S6 vx Apple iPhone 6: Design

Samsung Galaxy S6: ina unene wa 6.9mm, 138g uzito, aluminium body na kioo jopo, Zenye rangi nyeupe Lulu / nyeusi Sapphire /na yennya rangi ya dhahabu /  na pia Blue
iPhone 6: Vile vile ina unene wa 6.9mm, 129g uzito, aluminium body nyuma yake , na rangi za  Grey, Silver na Gold
Zote zimedesigniwa kubebeka na nirahisi kuweka mfukoni tofauti na ukilinganisha na models nyingine kama iPhone 6 plus na Galaxy Note 4.
 
  
Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Screen

Samsung Galaxy S6 : ina ukubwa wa 5.1 -inch , QHD ' 2K ' Super AMOLED , 577ppi , 536 nits mwangaza wake

iPhone 6: nayo ina ukubwa wa 4.7 -inch , 1334 x 750 LCD IPS, 326 PPI , 504 nits mwangaza wake pia

Katika simu hizi hizi mbili ni mara ya kwanza kwa makampuni haya kutoa simu zenye ukubwa wa kioo ukilinganisha na Galaxy s5 na iPhone 5s ambayo ni matoleo ya nyuma

http://i-cdn.phonearena.com/images/articles/171487-thumb/galaxy-s6-edge-vs-iphone-6-4.jpg 

Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Performance

Nikizungumzia Performance nazungumzia proccessor na ram ambazo ziko installed kwenye hardware katika simu hizi mbili Samsung Galaxy s6 na iPhone 6 
Samsung Galaxy S6: inatumia proccessor za Exynos 7420 64-bit octa-core, Mali T760 GPU, 3GB RAM
iPhone 6: Processor yake ni Apple A8 64-bit dual-core 1.4GHz, PowerVR GX6450 GPU, RAM 1GB
Geekbench 3 multi-core scores
Samsung Galaxy S6 - 4116
iPhone 6 - 2933


Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Storage

Samsung Galaxy S6: 32GB, 64GB and 128GB, haina nafasi ya kuongeza storage kuweka SD Card ukilinganisha na matoleo yao mengine hii imekuwa ni mara ya kwanza kampuni ya Samsung kutoa simu ambayo haina slot ya memory card

iPhone 6: 16GB, 64GB, 128GB,na hakuna nafasi ya kuongeza storage kama kuweka SD Card ni kawaida kwa kampuni ya apple tangu imeanza kutoa simu zake haikutoa uwezekano wa kuweka slot ya SD card.

Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Software

Samsung Galaxy S6: Inatumia mfumo mpya kutoka Google wa  Android Lollipop 5.0.2 na TouchWiz UI, Good interface ambayo unaweza kupata Application zaidi ya milioni moja,! kupitia market yao Goole Play
iPhone 6: yenyewe inatumia mfumo wa Apple iOS 8.3, ambayo niaweza kusema ni simple interface kabisa, ambayo nayo inakupatia zaidi ya application milioni moja kupitia market yao ya Apple Store.
   
 
Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Fingerprint scanners
Samsung Galaxy S6: Fingerprint sensor (yenye kuthibitishwa na PayPal)
iPhone 6: Touch ID: Touch sensor fingerprint ID (Yenye kuthibitishwa na Visa, MasterCard, AMEX)
Amabayo inakufanya simu yaku kuwa na security kubwa sana katika utumiaji
http://mobilesyrup.com/wp-content/uploads/2015/03/galaxys6iphone6-48.jpg 

Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Speakers and earphones

Samsung Galaxy s6: Ina Spika ya 3d sound chini kari na usb port yenye good sound quality na 3.0 heart phone jack unapata good sound hata pale unapochomeka earphone na kusikiliza music
Apple iPhone 6: nayo pia Ina Spika ya 3d sound chini kari na usb port yenye good sound quality na 3.0 heart phone jack unapata good sound hata pale unapochomeka earphone na kusikiliza music.
Wachambuzi wa smartphone kutoka marekani wamesema hakuna tofauti sana ya sauti kati ya Samsung Galaxy s6 na Apple iPhone 6 japo inasadikiwa kwa Galaxy s6 kuwa na sauti nzuri zaidi ya Apple iPhone 6
 
Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6: Camera
Sasa camera ndio kitu ambacho watu wengi hupenda kuangalia katika ununuaji wa simu,! Ukizingatia katika ulimwengu huu wa kuselfika,!
Samsung Galaxy s6: Camera yenye ukubwa wa megapixel 16 rear camera yenye flashlight nzuri inayokuwezesha kupiga picha hata usiku na kuselfika kwa ukubwa megapixel 5 mbele, ambayo unaweza kupiga picha kali ya kuselfika kushare na marafiki, Ha ha ha ha mnaopenda kuselfika
Apple iPhone 6: Hii naweza kusema ni ndogo kidogo, ina camera yenye ukubwa wa Megapixel 8 rear camera japo iko optimized for low light na flash nzuri unayoweza kupiga picha hata usiku pia na kuselfika na megapixel 2 nzuri kushare na marafiki.
Kama ulivyojionea picha hapo juu ya ubora wa camera ya Galaxy s6 na iPhone 6
  

 

Samsung Galaxy S6 vs iPhone 6:Battery Life

Samsung Galaxy S6 : ina capacity ya 2550 Mah na ni betri isiyo removable, uwezekano wa
kucharg kwa wireless charging, hii ni amaizing eeh, ndio ni wiress charging aseee  
iPhone 6: nayo ina capacity ya  1810 Mah ambayo nayo ni non removable battery lakini
sijathitisha kwamba nayo ni wireless charging ama nini,! sorry kama utakuwa unajua unaweza 
kuacha coments apo chini ya post.
 
 

 Samsung Galaxy s6 vs Apple iPhone 6: Price!

Samsung Galaxy s6: yenye capacity ya 128gb inatazamiwa kuuzwa kati ya TzSh 2,000,000/= kwa hapa Tanzania kwenye maduka ya Samsung
 

Apple iPhone 6: yenye capacity ya 128gb hapa tanzania inatazamiwa kuuzwa TzSh 2,200,000/= 

Kama unahitaji masaada wowote unaweza wasiliana  kupitia +255 71 890 008


source kato kumbi (my broo)

Maoni 4 :

  1. Thanks for shearing about on samsung Galaxy S6 vs iPhone 6 jionee utofauti.I am very happy to your post and I always appreciate your post.I’m really amazed with your posting skills as well as with the layout on your blog site.
    Buy iPhone 6S Plus in UAE

    JibuFuta
  2. !~ Samsung Galaxy Note 4 ~!
    Samsung Galaxy Note 4 16GB White Dual Sim N9100 Buy Online In Dubai In Just 1,199 AED click here => Samsung Galaxy Note 4 Online Shopping | Galaxy Note 4 Dubai | Samsung Galaxy At DubaiVFM.com

    JibuFuta
  3. Hai Good information shared about IPHONE6. In future everything about ios . This blog post is really helpful. Please keep updated tutorials…

    JibuFuta
  4. A career in vehicle CAD (computer aided design) means you get to apply the cutting-edge computer era to help layout and draft automotive components. In this visual and symbol-based verbal exchange approach, you will be capable of tailor your understanding to the automotive area and to the profession within the car area which you want to go into into. This will ensure a protracted-term, high tech profession route that is now not only applicable today, but for the next day as nicely. The following kinds of individuals may be excellent candidates for a career in auto CAD:

    AutoCAD training in Noida

    AutoCAD training institute in Noida


    Best AutoCAD training institute in Noida


    Company address:
    Webtrackker Technology
    C- 67, Sector- 63, Noida
    Phone: 01204330760, 8802820025
    Email: info@webtrackker.com

    JibuFuta