fb,twita,insta

tangazo

Walioendesha magari kwa kasi Dubai wanaswa

Polisi wa Dubai wameyachukua magari zaidi ya 80, kwa sababu yaliendeshwa kwa kasi mno kama mita mia tatu kwa saa.
Mkuu wa polisi, Khamis al Muzainah, alisema, baadhi ya madereva walibandua nambari za magari yao, ili wasitambulikane.
Image captionMagari ya polisi mjini Dubai
Lakini polisi nao wanayo pia magari ya kasi ya na ya anasa, kama Lamborghini, Porsche na Aston Martin, na walifukuzana nao hadi kuwapita na kuwanasa.
Ripoti za magazeti zinasema, anayeshiriki kwenye mashindano ya magari kinyume cha sheria mjini humo, anaweza kutozwa faini ya hadi dola elfu 27.

Hakuna maoni